Wengi mtanitoa akili

Pole mpaka hapo nafikir umeshajifunza kitu
Usimwamini mtu
Sio kila mtu ni wakumshirikisha kila jambo
Kila jambo unaloambiwa litafakar kwanza kabla ya kukurupuka
 
Mi nakumbuka miaka flani nyuma huko nilikuwa nafanya kazi ya kuajiriwa nalipwa 280000 bc mzee wngu mdgo akanunua daladala akaniita na kuniomba niache kazi niende kusimamia gar yake akanipa siku mbili niwe nimemjibu kifupi mshahara kwl ulikuwa mdgo lkn nilishndwa kuacha nikiwaza Kuna Leo na kesho Mambo za magar hazitabiriki na je tukikorofishana sikumjibu kimya changu kilitosha kuwa jbu
 
Hakunaga watu wanafelisha wenzao kama ndugu wa karibu stand on your own no one is happy with success wengine wanapenda uwe chini yao so that they use you fikiria mangapi umewafanyia kwa kipindi umeacha kazi, open your mind
 
Hakunaga watu wanafelisha wenzao kama ndugu wa karibu stand on your own no one is happy with success wengine wanapenda uwe chini yao so that they use you fikiria mangapi umewafanyia kwa kipindi umeacha kazi, open your mind
Nilishawahi kufanya maamuzi magumu nyumbani, kuna ndugu wakashangaa na kuuliza, wewe mbona unafanya hivyo?

Miaka 10 baadaye wakaniita, wanaomba msaada wa maisha, wanasema wewe mchizi ulikuwa mbele yetu kwa miaka 10, sisi tulikuwa hatujakuelewa tu wakati ule.

Ningewasikiliza ningekuwa bado sana kufikia malengo fulani sasa hivi.
 
Wizara ya Kazi na Watetezi wa Haki za Wajinga wanaoacha kazi wakatafute kazi.....

Hili nalo mkalitazame
 
Game changer heads up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…