Pata kazi kwanza ndiyo uache kazi.Hi
Mimi nilibahatika kupata kazi sehemu fulani mshahara ulikuwa mdogo ila nilificha mtu yoyote asijue napokea kiasi gani
Sasa siku moja katika kuongea nikajikuta nimesema kwa ndugu mshahara wangu wakaanza kunichamba hapa ushibi bora uache iyo kazi tutakutafutia sehemu nyingine acha mara moja nilisemwa sana mengine siwez ongea
Nikaacha ile kazi sasa uhuu yapata mwezi wa nane tangu niache wao wenzangu mambo yao yana nyooka mimi nimekuwa omba omba kwao nachukia kipindi kile nilikuwa napata sawa mshahara kidogo ila nilikuwa siombi
Haya maisha inatakiwa kujitambua sana na kuelewa maana ya "za kuambiwa changanya na zako".Ulitakiwa upate kazi mpya kwanza ndo uache uliyokuwa nayo.
Uliwaamini Vipi na wewe?
Heri kidogo cha jasho kuliko kidogo cha kuomba.Hi
Mimi nilibahatika kupata kazi sehemu fulani mshahara ulikuwa mdogo ila nilificha mtu yoyote asijue napokea kiasi gani
Sasa siku moja katika kuongea nikajikuta nimesema kwa ndugu mshahara wangu wakaanza kunichamba hapa ushibi bora uache iyo kazi tutakutafutia sehemu nyingine acha mara moja nilisemwa sana mengine siwez ongea
Nikaacha ile kazi sasa uhuu yapata mwezi wa nane tangu niache wao wenzangu mambo yao yana nyooka mimi nimekuwa omba omba kwao nachukia kipindi kile nilikuwa napata sawa mshahara kidogo ila nilikuwa siombi
Hata hiyo ni 100k kwa mwezi ambayo sasa hana.ITAKUA alikua anakula 100k/mwez af kaacha.
Sijui alikuwa anawaza nini huyu ndugu yetu😀Haya maisha inatakiwa kujitambua sana na kuelewa maana ya "za kuambiwa changanya na zako".
Sehemu nyingine inabidi uwe mbishi kabisa hutaki kusikia la mtu, upate lawama kuliko fedheha.
Mtu anakushawishi kabisaaa uache kazi, kama atakupa yeye kazi nyingine, halafu unamsikiliza unaacha kazi kabla ya kupata nyingine!
Unaanza anzaje kufanya kitu cha hatari hivi?
Haya mengine ni matatizo ya kutaka kukubalika, kutaka kuwa mtu wa kusema ndiyo kila mara ili watu wakupende.Sijui alikuwa anawaza nini huyu ndugu yetu😀
Women are wiser than men because they know less and understand more.👍Don’t overshare. Everyone is not your friend.
Pole mkuu