BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,170
- 8,624
HAhaa one love man, wewe ni nani sasa umeshajitambua?
Kuwa Introvert sio kitu kibaya, ni namna tu mtu anavyojiweka, may be mtu hupendelea kukaa ndani peke ake, inakuwa ngumu kwake kuform new relationship, anapata wakati mgumu kuongea mbele za watu wengi n.k.tofauti yao ni ipi mkuu elezea kidogo
Mbona kazitaja,Tabia za introverts ni zipi mkuu? Ingekuwa vizuri kama ungetutajia!