upareni wanayaita makilaume wanatumia kama nyanyazamani tukiyachuma na kuchezea,kumumunya na ni matamu. kwetu huyaita tunguja, ila yamegundulika yana kinga kubwa sana ya magonjwa mbalimbali. wengine wataongezea...
Hapana mkuu nyanya chungu hazina huo uorangeSio nyanya chungu kweli
Au ngogwe
Matunda haya wasambaa huyaita "magoghwe". Matunda haya hustawi kwenye maeneo yenye baridi. Ni mazuri sana yakitumika kama kiungo kwenye mboga. Yana ladha ya pekee na harufu nzuri sana. Ukiwakuta wasambaa halisi huyachoma moto ili kuondoa ganda lake la nje kisha hulumangia ugali wakiweka chumvi kidogo.