Mungu Hakupi Vyote Pia Hakunyimi VyoteHii sasa Kali!
Umenena vyema.Mungu Hakupi Vyote Pia Hakunyimi Vyote
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza
Umesema kama nilivyomjibu bro wangu baada ya kunichamba kwamba nina mwanamke mnene ambaye yeye hapendi! Nami nikaropoka tutachomwa mifupa!๐๐๐๐Mifupa inaumiza๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Hivi unaanzaje kutamani kidubwasha kama hiki? Ila na Sisi wanaumeeee!
Hayanaga miongozo...
Weeeee kwamba weye popote unapita??? Umenishinda tabia nakugawaaaaaaHayanaga miongozo...
Nimeokoka...Weeeee kwamba weye popote unapita??? Umenishinda tabia nakugawaaaaaa
Nimekaa paleeeeeeeeeeeee๐๐Nimeokoka...
Nikiwa nyuma yako, nimekupakata...Nimekaa paleeeeeeeeeeeee๐๐
Mara inakuwa ni nyama ya paka au mbwa!View attachment 3597231 hujawahi kula mshkaki wa 100 wewe๐๐
Navopenda sasa awwwwww!!Nikiwa nyuma yako, nimekupakata...