myamweziii
Member
- Feb 9, 2017
- 12
- 3
Hakuna cha umaarufu voice of maguful
namwongelea teja mmoja hivi wa pale dsm. au topic hii inmahusu nani, nisijekuwa nimevamia jukwaa nisilolijua?DUH mkuu umeenda mbali sana ninaamini haya maneno baadaye utakuja kuyakana...
Naona magu Mmmmmmm anachungulia back hana cha kupotezaAhaaaaaaa! CCM bahnaa! Dah! Halaf mnamtupa ka ganda la pipi!! Makonda mwanangu, mali za wazee usizichezee!! Umemuona huyo wa kushoto alikopeleka macho?? Haya hayaaa, kumekucha. Madongo uliomtupia wema sijui ka dodoki tu latosha kumsafisha
Kilichonivutia hasa ni jinsi alivyong'ata midomo...nawaza tu hapo alishampangia hata styles atakazomuweka!hatari sana[emoji125] [emoji125] [emoji125].Vitu vingine vinachekesha hata kama hutaki, yaani wewe kwenye picha yote hicho ndo kilichokuvutia kwa huyu babu
Badala ya mdomo kukiponza kchwa .... naona usipozinduka ukadhani umejifcha huwezi patikana VIDOLE VYAKO MWENYEWE VITAKUPONZAKilichonivutia hasa ni jinsi alivyong'ata midomo...nawaza tu hapo alishampangia hata styles atakazomuweka!hatari sana[emoji125] [emoji125] [emoji125].
Aaaaaaaaaaaa? Wakwao unazusha arifuAhaaaaaaa! CCM bahnaa! Dah! Halaf mnamtupa ka ganda la pipi!! Makonda mwanangu, mali za wazee usizichezee!! Umemuona huyo wa kushoto alikopeleka macho?? Haya hayaaa, kumekucha. Madongo uliomtupia wema sijui ka dodoki tu latosha kumsafisha