FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,422
Lakini kumbuka wema hauwezi kuzidi uwezo ulionao.1) Utendapo wema maana yake unamjali mwenzio.
Yaani maana yake umejilipa mwenyewe kabisa.
Kwani lolote tutendalo huwa tunajitenda wenyewe!
Liwe jema au la, Muumba huturudishia lile lile!
Lakini wema usiwe wa kutenganisha familia zao!
Unapoitenganisha, wewe ni mkatili na siyo mwema.
Wema wa WEMA uko wapi?
++
Duniani kitu Wema
Wema haujaonekana
Kilichobaki ni dhuluma
Wabaya ndo wanatana
Hakuna matendo mema
,,,,,,,,,
Wema wamepakwa jivu
Hivyo hwataonekana
Ni mashaka yangalipooo
Wemaa hawna maisha
,,
Wema wangeishi
Neema tungezipata,,,,,,,,,,,,,,,
(Maneno ktk wimbo wa zamani wa mwanamuziki mmoja huko Kenya) Rutashubanyuma upo hapo
++
wema wa wema wewe unautaka wa nini.....?
sasa if one can be saved why should wema left her suffer
Lakini kumbuka wema hauwezi kuzidi uwezo ulionao.
Duuu mme nae wataenda kumtoa wengine
Faini ya Kajala haikuwa kubwa kama ya Husband wake
Nina allergy na mashairi in the first place! Hata hivyo wema hutoka ku-moyo, matendo ni uwakilishi tu. Unfortunately you can only feel WEMA, you can not see it
Wema ..angemtoa mume wa Kajala af akamuacha shostire ake ingekuweje?siangenangwa hadi nursery schools?
Imagine Wema mkeo af ana shoga ake kipenzi na mumewe wamefungwa,then anamtoa mumewe af shogake anaachwa..?!!!
Kuhusu kutanua ni mtu mwenyewe may be anakitu anafanya ili amtoe mumewe u never know.
Bana mkono wake na roho yake vimefika vilipofika.
Wasanii nao waoneshe umoja.
na ukishalijua hilo..utakua mwenye amani siku zote na hutosita kutenda wema kwa ajili ya radhi za Mungu 2 na si kwa ajili ya kuwafurahisha wanadamu..,,!!
Sasa huyu mwanaume si mwizi na ameiba hela nyingi Wema sepetu atatoa wapi hayo mamilioni ya kumuokoa? mi naona huyu bwana apumzike tu huko salama maana hukumu ikishapita imepita
Are you serious???
Try to understand before judging.
Na kama ukiendelea kujiuliza maswali ya kumjudg mwingine ujue kabisa wewe ni mnafiki.
You want to be seen as too considerate to others?
Seeking external symphanthy isn't a deal!
Let a person do what she can/believes . . . leave the rest to GOD.
As its non of your business, the best way you can do . . . ni kutoa ushauri.
Na sio kuutafuta wema wa mtu.
If you can't bless alichokifanya mwenzio hata kama ni kidogo . . . basi mind your own business.
Na sio kuanza kutafuta vijisababu sababu tu ili kudisaprove the good will of her.
loya wema wa wema ulifikia kikomo cha wema pale
kwani yule mwenzenu nasikia alitakiwa mkwanja mrefu sana
sijajua hata huyu pepari mwenye jina la mkufu kwanini amekaa kimya
niliamini kuwa angemnusuru mwenzie, au naye anaangalia maganuni i never know.
kujirusha ni wajibu,
hivi bongo hii kwa vijana kama wale unategemea nini loya wangu.
asante kwa ujumbe lakini.