Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 5,941
- 22,245
Ila kuna mijitu mikauzu hapa dunianiš¤£š¤£š¤£š¤£Kuna mmama alinifwata et nimpe laki na hamsini anaenda kudabo yani ndani ya masaa matatu atailudisha daaaaaaah yani kwenye kumuomba ela yangu alinipa jibu kwa meseji
KWANI LAZIMA NIKULIPE ELA???