Kutokana na makosa hayo, mlimbwende huyo sasa anasubiri hukumu ambayo inawezekana ikamrejesha jela tena (kama vile Gereza la Segerea) au kutozwa faini au vyote viwili itakayotolewa na mahakama hiyo.
anao sana babake alishawahi kwshika wadhfa fulani wa kiserikali kuko visiwa vya znz, cjui inakuwaje? may be wazaz walikiwa busy wanaondoka hom wajogoo yanawika,wakirudi mambwa yanabweka ntoto kashinda kutwa nzima na beki tatuno malez ya maana
Hivi kwa sio hapo karibu na Meeda Bar sinza/Mwenge? Kama ndio hivyo mama yake ni balaaaaa usichezee koki... utaloa sembuse mtoto. sishangai hata kidogo