Wema Sepetu na Jackline Wolper kuzichapa ulingoni.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Mastaa wa filamu za kibongo wanadada Wema Sepetu na Jackline Wolper watazichapa ulingoni ili kumaliza bifu lao katika mpambano wa utangulizi kusubiria mpambano wa Francis Cheka na Japhet Kaseba. 129.JPG 098.JPG View attachment 58056
 
Hivi huyu anaejichubua akipasuliwa na ngumi siitakuwa balaa tena ....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mastaa wa filamu za kibongo wanadada Wema Sepetu na Jackline Wolper watazichapa ulingoni ili kumaliza bifu lao katika mpambano wa utangulizi kusubiria mpambano wa Francis Cheka na Japhet Kaseba.View attachment 58054View attachment 58055View attachment 58056
Tangu lini wanawake, tena wazuri sana, wakapambanishwa kwa ngumi?
Waandaaji wa pambano hili wana IQ ndogo sana, wangeandaa pambano la body & fashion show kati yao.
Na wakae wakijua kuwa mwanamke hata kama hana akili kabisa kinachojiuza ni jinsi alivyo.
 
Back
Top Bottom