Wema Sepetu mwakilishi BBA 2009?

Status
Not open for further replies.
Wema+Sepetu


..mrembo wema sepetu,analipa lakini au wajomba mnasemaje?


hizo make up tu mjomba,kutana nae ni wa kawaida sana!!!!!
 
kwani akienda kuvua chupi atakuwa anatuabisha?? mbona tatiana alimvulia kwa sana Brother Rich na akafika mbali kwenye BBA2? Kuvua ni lazima watoto wa Bongo wavue hata aende nani, si mlimuona latoya alivyokuwa kicheche katika muda wa wiki mbili tu? denda alitoa kwa jemba tatu!!!!! Kupitia kwa Bro Richard tuliwa.... waangola, acha nasi zamu yetu watushughulikie wengine. Awe Wema au Elizabeth au demu yeyote wa kibongo, ngono lazima nje nje tu!!!!
 
tambala la deki laingia BBA.
kila mtu atalitumia na kuliacha juani

Kufanya kosa sio kurudia kosa bali kosa kurudia kosa.
Tusiendelee kumuhukumu Wema wakati alishatubu na kujutia makosa yake, kama ni kweli yeye ndiye mwakilishi wetu huko basi hatuna budi kuondoa yale mabaya yote aliyoyafanya na kufuata mazuri yote na kumpigia kura nyingi tuwezavyo ili haeshima ya jina TANZANIA irudi.
 
acheni mawazo ya mfumo dume. yaani mnaona
mwanamke "kufanya" ni nongwa ila mwanaume
"kufanya" ni sawa!

hapo hakuna anayeliwa bali wanakulana na hakuna
anaemegwa bali wanamegana.
 
Kazi kweli yetu macho.Akigawa uroda itakua safi maana kule wanatuonyesha kila kitu live tumuone anavyokukuruka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom