wema sepetu.....kwa uzoefu wangu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wema sepetu.....kwa uzoefu wangu......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Boss, Jul 8, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hapa jf sasa hivi kuna thread nyingi za wema sepetu

  kwa ujumla zote zinamponda kama alieshindikana hivina kadhalika

  na kwa watanzania pia mtazamo uko hivi hivi........

  niseme binafsi nimewahi kuona ndugu zangu wawili katika ukoo

  mabinti,waliokuwa na tabia kama za wema.....

  yaani,walikuwa kama wameshindikana hivi kwenye masuala ya ngono....

  hawaambiwi,hawasikiii

  it turn out wote wawili,licha ya kuwa na wazazi tofauti....

  ilikuja kugundulika baadae chanzo cha matatizo yao ni baba zao..

  how. walikuwa sexually abused na baba zao......

  mmoja alikuwa akipelekwa shule na baba yake,
  wakisafiri anageuka mke wa baba yake huko safarini,wanafikia chumba kimoja cha hoteli
  na kadhalika.........

  sasa walipoanza kucharuka,cha ajabu baba zao licha ya kuwa wakali saana
  walikuwa hawachukui hatua yeyote ile kwasana......


  tukija kwa wema,tujiulize,mbona baba yake yuko kimyaaa sana?

  halafu mbona inaonekana anaelewana vizuri tu baba yake???????/

  sisemi ni kesi hiyo hiyo,but kwa uzoefu wangu
  naweza kusema,wema akichunguzwa vizuri na akipata therapist wazuri
  am not so far from the truth, trust me
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Boss! Boss!
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Boss jungu hilo unalipika!
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Boss kuna dalili fulani hivi ya ukweli. NitalifaNaishi nae jirani.
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nitafuatilia na kukupa details
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaa.....he mean somethng,ila analipika kweli
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  u must be right
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  unajua Boss, binafsi sioni cha ajabu sana kwa huyu binti,
  kiukweli sioni kama ana tofauti kubwa kitabia na wasichana/wanawake walio wengi.......
  tatizo ni kwamba huyu ni kule kujulikana kwake ndo kunamponza,
  hivyo kila wakati macho ya watu yanamwangalia kafanya nini ili watu wapate cha kusema.
  lakini to be sincere, hivi vitabia vyake most of girls wanazo sana tu.....................
  na wala haiitaji ushahidi kwani tunawaona sana kitaa wakiyafanya haya,
  Ni kwakuwa tu hawana attention kubwa kwa jamii ndo maana mambo yao yanaishia kimya kimya tu!............................
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Mhhhh...haya bwana no comment!
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hapo The Boss Umejenge hoja, Binafsi sina comments coz ulichokisema hapo juu kwangu ni stori ngeni, ila inanipa uhakika fulan coz wewe binafsi umeexperience kwa dada zako hao. Mimi sikuzote kupenda ngono kupita kiasi nachukulia kama hulka ya mtu!
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole dada wema!
   
 12. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tayari magazeti ya udaku yamepata headline
   
 13. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hasara ya umaarufu. Na ingekuaje kama ingelikuwa hasemwi? Sipati picha.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  inawezekana kabisa maana haishi vitimbi...
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mwenyewe huyo hapo
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hata chupi havai kitu kinapunga upepo
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Wazee wanakula vyao wenyewe bana, wangojee laana zao ziwachukie kama mvua ya mawe.
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  yana Mwisho,
   
 19. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hivi huu ni mchoro au macho yangu?
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mkuu kama umaarufu,mbona kuna wasichana weengimaarufu????/
  miss tanzania wako wangapi????/
  mbona ni yeye tu anaevuma?
  we huoni ana kama tatizo la kisaikolojia hivi
  la kutafuta attention??????
  au kumkomoa baba yake hivi?????/
  jiulize why???????/
   
Loading...