wema sepetu.....kwa uzoefu wangu......

wema sepetu.....kwa uzoefu wangu......

mkuu kama umaarufu,mbona kuna wasichana weengimaarufu????/
miss tanzania wako wangapi????/
mbona ni yeye tu anaevuma?
we huoni ana kama tatizo la kisaikolojia hivi
la kutafuta attention??????
au kumkomoa baba yake hivi?????/
jiulize why???????/

ni kweli
 
Huyu binti kama kuonywa keshaonywa sana na familia ndugu, jamaa na watu wazima wengne. Lakin inaonekama hatak kubadilika sasa wamekaa kimya. Kumuonya mtu sio hadi kwenye vyombo vya habar mjue kaonywa, hakuna mzaz anayefurah mwanae kuharibikiwa.
 
Back
Top Bottom