Duh, kumbe Wema ni sawa na mademu/vicheche vya mjini. Kitambi utafikiri ana watoto 4 kumbe hata wa kusingizia hana. Anaboa siku hizi ataishia tu kuonga wanaume ili aandikwe magazetini.
Ni picha ya mwanamke, so what?
Ni picha ya mwanamke, so what?
Hata mimi mtu mzima nimeipenda na nipo tayari kumnunulia RAV 4.
Ungesoma posts zangu juu huko ungenielewa, hapo ni ushahidi wa niliosema kuwa wanawake wanaenda huko kujiuza huku wakiwa wameshatumia mikorogo ya kila aina inayopatikana duniani, wakiwa na nywele za maiti, pitia juu huko.
Anatamanisha, lakini ni wa siku moja ikizidi mbili, kwani harufu ya ngozi ya mkorogo na harufu ya nywele za bandia utayokumbana nayo, hutoweza kuihimili kila siku, labda uwe mlevi wa kutupwa, yaani kila unapokutana nae uko chakari na sense yote ya harufu imemezwa na pombe.
Hahahahaaaa., that's wazzzup mkuu!!
zomba tatizo nikwamba na wewe akipita mwenye hayo uliyoyajtaja shingo inazunguka kama feni na macho yanakutoka kama balbu. waacheni wanawake wausife uumbaji wa Mungu lol...............ni wadada wazuri ilikuwa funika bovu watu kupendezza sana tu nguo za uhakika wacha masihara wewe wenyewake zao tu walikubali kuwa wamependeza sembuse nyie wapita njia?Mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
Tazama picha hiyo juu, halafu useme kama huko si kujianika.
Mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
This is diamond dot com. Nadhani nimekujibu uliyetaka kujua "hiki nini"
Da Nimependa nywele za yule mdada wa nyuma..
Siku hizi ni mfuko wako tu au wa njemba zinazokuweka mjini. Si lazima uzaliwe mzungu au muasia.
Siku hizi ni mfuko wako tu au wa njemba zinazokuweka mjini. Si lazima uzaliwe mzungu au muasia.
Najua zipo na zinauzwa,halafu mwanamke kupendeza na swala la njemba kumuweka mjini vinahusiana nini...?Yaani nywele tu mpaka mwanaume...? nahisi kama una uchungu sana na wanawake na hasira nyingi.
Sipendi wanawake wanaoona Mungu kafanya makosa na kutaka kufanya kila njia waonekane kwa nuonekano ambao sio wao wa asili, kama kujikoboa na kuvaa nywele za maiti.
Nna wasifu sana wanawake ambao hawajihusihi na huo ujinga na nnawapenda sana, mfano avatar za Mwali.
Tazama kama hiyo avatar yako, nywele za kihindi, rangi shombe wa kimanga na kinyamwezi. Inahusu nini?
Kwanza kuhusu avatar yangu unasema Uongo huo uhindi hapo uko wapi,thats natural black beauty.
Pili wanaojichubua na wenye hizo sifa unazodai zinakukera wapo na wataendelea kuwepo tu sio kutaka au kutotaka kwako wewe.
Niaminishe na hizo nywele ni za mwenye hiyo avatar na si za kununua. Rangi naweza kukubali ni photo shop na kwenye nature hupatikana hapa kwetu kwa wale mashombe wa kimanga na kinyamwezi au kisukuma.
Wapo na watakuwepo kibiashara zaidi hilo wala sikatai. Biashara ni matangazo na matangazo ni biashara kubwa zaidi.
Hata mimi mtu mzima nimeipenda na nipo tayari kumnunulia RAV 4.