Wema Sepetu Gambani

Naona amekamata stearing ya FARMTRAC atazani ni ya VITZ!
Kitu hiyo kuendesha mpaka uwe umekula nguga ya ukweli...
 
Haya masanii mengi ya bongo nimagamba na ndiomaana usanii wao umekua wakubahatisha.kuna limoja liliwah kugombania udiwani likapigwa chini nimabinafs kweli haya majinga
 
Haya masanii mengi ya bongo nimagamba na ndiomaana usanii wao umekua wakubahatisha.kuna limoja liliwah kugombania udiwani likapigwa chini nimabinafs kweli haya majinga
 
Bila kuwa gamba ktk sanaa huyoki alimradi uwepo kwenye kampeni hebu fikiria cd moja jero atatoka lini?
haya masanii mengi ya bongo nimagamba na ndiomaana usanii wao umekua wakubahatisha.kuna limoja liliwah kugombania udiwani likapigwa chini nimabinafs kweli haya majinga
 
wasanii wote wamevutika chamani, nadhani ni mpango mkakati towards 2015

Ndo kazi ya Le Mutuz. Anasahau kuangalia hata maadili ya wasanii anaowabeba. CCM uwezo wao wa kufikiri umetoka kichwani mpaka miguuni.
 
aaahhhhh, kumbe ndio maana wanasafiri sana
Ndo kazi ya Le Mutuz. Anasahau kuangalia hata maadili ya wasanii anaowabeba. CCM uwezo wao wa kufikiri umetoka kichwani mpaka miguuni.
 
Hawa hawaijui CCM. Wawaulize wanafunzi wa UDOM kilichowapata.... Si walitoa tamko mwaka uleeeeee? Mie nikasema Yangu macho, masikio, pua, na mdomo.... Siasa = Si Hasa! Labda watapewa Ukuu wa Wilaya maana nyota zao (Wema + JB) zimeshuka! Hawauzi tena Steps... Unabisha? Nenda Steps utaambiwa!
 
Laiti kina dada wangejiheshimu hivyo! Sasa hivi wamejishusha thamani kama nyama ya nyongeza
 
Last edited by a moderator:
MSIKIE WEMA SEPETU AKIREKODI STUDIO

[video]http://www.teentz.com/profiles/blogs/msikie-wema-sepetu-akirekodi-studio[/video]

Show Off!!
 
Njaa mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…