Wema Sepetu alipotua Airport

mkulu unaona eeh pamoja na kuwa mie ndio nilipost hizi picha sikuziona hizo shanga, hivi shanga za dhahabu na original zipi zinatia mashamushamu na mahanjamuuh
Original ndio zenyewe! Hizo za dhahabu mashamushamu huwa ni feki, kwani mvaaji huogopa isije kukatika na kuingia gharama zingine...
 
anachoniachaga hoi ni kimoja tu ata akonde kiasi gani uso mikono inakonda \ile bambataaa hata siku moja aipungu sijui anachambia amira anyway siri yake
yaani kuanzia kiuno mpaka vidolen kunabaki kama kulivyo
bg up wema

Ha ha ha Mkuu umeniacha hoi
 
Kupata mademu dizaini hii siku moja moja sio mbaya,wanakuwaga wajeuri sana kwenye shughuli.
 
lakini still wema ni mzuri kushinda MISS TANZANIA WETU WA SASA...
 
duh...hamuwezi jua mwenzenu hapo kwa huyo kijana anapata nini jamani...ila yale mahips ya wema tunayoyaonaga kwenye muvi alizocheza mbona hapa siyaoni yakheee?
 
Kamepata shinikizo la damu gafla sijui nacho kana walk na mume wa mtu nanukuu mada moja humu ndani
 
duh...hamuwezi jua mwenzenu hapo kwa huyo kijana anapata nini jamani...ila yale mahips ya wema tunayoyaonaga kwenye muvi alizocheza mbona hapa siyaoni yakheee?

kwa staili hii ya kubadilisha wanaume yatabaki kweli? yalishamalizwa yale
 
wema1.jpg

wema2.jpg
mbona hawaendani?
 
mkulu unaona eeh pamoja na kuwa mie ndio nilipost hizi picha sikuziona hizo shanga, hivi shanga za dhahabu na original zipi zinatia mashamushamu na mahanjamuuh
Za kibongo ni mwisho hilo nyororo kwa macho kuonyesha ughalama wake lakini kihisia hakuna zaidi yashanga za orginal
 
Back
Top Bottom