Wema, diamond... Hakuna ndoa

sipendi wazazi wanaoingilia mahusiano ya watoto wao.....yani siwezi hata kuelezea, sasa anamchukia binti wa watu kwa kosa gani? kama ni kuwa na wanaume wengi kabla yeye anajua diamond alikuwa na wangapi kabla ya wema? mama aache watoto wapendane bwana. ukiona mama ana tabia hizi za kuingilia mahusiano ya mwanae wa kiume na kuleta chuki binafsi kwa mkwewe basi ujue ameachika au ni mjane.....
 
Hata ingekuwa ni mimi, ningeacha RADHI kwa mtoto wangu kumuoa Wema.
humjui Wema ndio maana,yule binti anapenda kwa dhati lakini ana bahati mbaya kuangukia mikononi mwa wachafuzi.

yeah!...ingawa wema ni gold digger
uache kusoma magazeti ya Shigongo,Wema alikuwa anachukua hela kwao kuwa-support Jumbe na baadae Chaz Baba na nimeambiwa alimpa Almasi milioni 2 alizopata kwenye muvi bila kubakisha hata senti 5 sasa unajua maana ya Gold digger ??
 
wema wa saiv ni wema safi kabisa ni hakika na halo,lakini nadhan kinachomponza ni zile skendo zake za zamani.Jaman naomba tusimhukumu binti huyu kwa historia yake naomba tumpe heshima yake kama binadam yoyote anavyostahili kuheshimiwa
 
my friend diamond popote pale ulipo...........hujafanya vyema!!

sisemi hujafany avyem akumuacha wema..la hasha!!kitendo cha kumvika pete ndani ya mwezi huo huo n akuamua kumtosa huyo binti umeprove failure,............umeonyesha jinsi gani huna msimamo kama mwanaume...hata huyo mama yako vile vile si mshauri mzuri hasa kwenye masuala hayo au hakushauri kwa wakati muafaka.....

watu wa dizaini ya diamond wanaitwa 'results driven'.....yaani mnafanya maamuzi baada ya kuamua...sijui kam aumenielewa vizuri....!!

always jaribu kukaa chini na kuwa na watu unaowaamini katika maisha yako utakaokuwa wazk kwako wakushauri kwa kil akitu kilicho mbele yako..................mama yako anakuogopa mdogo wangu.........inawezekana kweli ulishauriwa hivyo na wema na mama akawa hampendi ila alihofia upendo wake kwako...mama nae anamakosa

chakufanya kaa chini..tulia sana na mamboyako ya mapenzi usiyaweke wazi kbs kweny emagazeti unless otherwise....tafuta wakati muafak aUKAMUOMBE RADHI WEMA...machozi yake yatakukost mdog wngu..........huop ni mkosi kwako na kw afamilia yako..usijione shujaa bali ni nuksi na mkosui mkubwa sana huo.................poleni sana wadogo zangu.maisha ni kujipanga every moment u get...narudia tena..............................................EPUKA KUAMUA BAADA YA KUFANY AMAAMUZI...FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI SAHIHI..

MDAU
 
mh makubwa haya tena,juzi tu si walikua wamevalishana pete cjui nini,inakuaje hii tena?wanacheza movie nn??
 
Kijana ana kazi kubwa mbele ya safari...kama mama mwenyewe ndo yule mmmmmhh!!!
 
Kijana ana kazi kubwa mbele ya safari...kama mama mwenyewe ndo yule mmmmmhh!!!

umeona eeh!! mama kigeu geu dogo kigeu geu +.........mi nlitegemea iyo historia ndeefu ya tabu na raha za maisha yao basi wangekuwa makini kwenye kufanya maamuzi sahihi.......trust me that is not the end!!kwanza tu kitendo cha kumvalishia pete club ya usiku..its none-sense!!mimi sio kwmba am talkinf this for diamond saana,,no!!ni ushauri kwa wale wote wenye kufanya maamuzi baada ya kuamua.
 
my friend diamond popote pale ulipo...........hujafanya vyema!!

sisemi hujafany avyem akumuacha wema..la hasha!!kitendo cha kumvika pete ndani ya mwezi huo huo n akuamua kumtosa huyo binti umeprove failure,............umeonyesha jinsi gani huna msimamo kama mwanaume...hata huyo mama yako vile vile si mshauri mzuri hasa kwenye masuala hayo au hakushauri kwa wakati muafaka.....

watu wa dizaini ya diamond wanaitwa 'results driven'.....yaani mnafanya maamuzi baada ya kuamua...sijui kam aumenielewa vizuri....!!

always jaribu kukaa chini na kuwa na watu unaowaamini katika maisha yako utakaokuwa wazk kwako wakushauri kwa kil akitu kilicho mbele yako..................mama yako anakuogopa mdogo wangu.........inawezekana kweli ulishauriwa hivyo na wema na mama akawa hampendi ila alihofia upendo wake kwako...mama nae anamakosa

chakufanya kaa chini..tulia sana na mamboyako ya mapenzi usiyaweke wazi kbs kweny emagazeti unless otherwise....tafuta wakati muafak aUKAMUOMBE RADHI WEMA...machozi yake yatakukost mdog wngu..........huop ni mkosi kwako na kw afamilia yako..usijione shujaa bali ni nuksi na mkosui mkubwa sana huo.................poleni sana wadogo zangu.maisha ni kujipanga every moment u get...narudia tena..............................................EPUKA KUAMUA BAADA YA KUFANY AMAAMUZI...FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI SAHIHI..

MDAU
Nawewe umekosea sana kuleta hili bandiko wakati unajua huku hawezi kufika na sijui kama anajua nini maana ya JF!!Hili badiko peleka kitabu sura A.K.A Facebook lazima ungeona mrejesho!!wake
 
Mmmhhh aibu kwanza hawa watu hata hawaendani, pole kwa kubemendwa kijana,,una safari ndefu....wadau huwa tunaangalia tu kwa tv mnavyo valishana pete vilabuni...shenzi taipu,,,kuna hatari ya kupotexa fans
 
Mmmmmmhhhhh!!!!!! Kumbe wameshaachana?
Uko sahihi kabisa Mkonowapaka, ni vibaya sana
kuamua ndani ya maamuzi, na ukifanya hivyo mwisho
wake huwa ni ajali.
Pole yao, utoto ulikuwa unawasumbua.
 
Back
Top Bottom