Wema akimbia studio Live EATV!

Kin kong nimekukubal nilikuwa nimeduwaa nilitaka ni2me post nalogin nakukuta umeshazama!
sasa kiukwel hii ni sawa au ni ujinga???
 
duh,kimenuka leo

Aiseee wema kashindwa kujizuia baada ya kubanwa na maswali ya anajisikiaje kwa diamond alivyokataa kupokea hela yake? Da ndio kakasirika na kanuna akahamua kuvua mic na kuweka chini na kusepa!! Martin please mpe ushauri huyo dogo wako,stress za maisha yake asizichanganye kwa fans wake!
 
kwanini wanamlazimisha kukiongelea ki2 ambacho ameshakiongelea sana?

Yap amekiongelea kweli lkn kuna baadhi ya fans wengine hawajasikia kabisa,ndio maana kwenye promo unafanya interview karibia vituo vyote lengo ni kila fans wako na wasikilizaji wa media husika waweze kukupata!
 
Kin kong nimekukubal nilikuwa nimeduwaa nilitaka ni2me post nalogin nakukuta umeshazama!
sasa kiukwel hii ni sawa au ni ujinga???

Stress zinamsumbua,she has to pay da cost to be da boss! Ni ujinga unamsumbua!
 
Wema bado anapenda dimond roho inauma

For sho' ndio maana anaumia sana akiulizwa maswali yanayomuhusu diamond,lkn wema alisahau ule msemo wa "what goes around comes around" its her turn now!!! Inaonekana diamond kweli ni sukari ya warembo anasimamia kucha nini?
 
Sio kumlazimisha anachotakiwa ni kujib maswal anayouliza
si dhan kama presentr anapangiwa maswal ya kumuulza mgen
au mgen kujipangia chakula au pakulala ugenini!
Kwanza kwa upande wang mm ni fans wake lkn sjawah kusikia interview cos huwa niko bizy sana sana kweny magazet ya udaku! Sasa leo nikasema afadhal nimemkuta live af yeye kavua mc duh hii mpya na ni skendo nyngne kawapa topc wa magazet yalayale!
kama kingekuwa chama cha... ningerudisha card! Haki ya nani?
 
Kiukweli wema kachemka kajiharibia sana ma-producer watakua wanaogopa kumwita coz wanahisi anaweza akaharibu program nzima @gody
 
kwanini wanamlazimisha kukiongelea ki2 ambacho ameshakiongelea sana?
Hata mi nimeona ila the way walivyokuwa wanamhoji hata mimi sijafurahia ni kama vile wanashabikia na kale katangazaji kakafika mbali zaidi kakaanza kumshika shika maskio hata ingekuwa wewe lazima ungekula kona
 
wale watangazaji wamechemsha sana...! tena ni unprofessional to do that, she is a public figure tena ameenda na meneja wake ambae ndio msemaji wa kila kitu! na alipoingia akatoa angalizo mapema kwamba kilichompeleka pale si kuongea habari za diamond na hayuko tayari kuzungumzia hilo
Wale nao muda wote wanaupoteza kwa kumlazimisha kujibu hayo maswali mpaka mtu anabadilika, anaanza kuwa mkali,anatoa mic akaamua kusepa....huu ni upumbavu ningekua bosi wao leo wangeona,
 
Sio kumlazimisha anachotakiwa ni kujib maswal anayouliza
si dhan kama presentr anapangiwa maswal ya kumuulza mgen
au mgen kujipangia chakula au pakulala ugenini!
Kwanza kwa upande wang mm ni fans wake lkn sjawah kusikia interview cos huwa niko bizy sana sana kweny magazet ya udaku! Sasa leo nikasema afadhal nimemkuta live af yeye kavua mc duh hii mpya na ni skendo nyngne kawapa topc wa magazet yalayale!
kama kingekuwa chama cha... ningerudisha card! Haki ya nani?

hapo kashauza habari kwny magazet ya shigongo.Ila namsifu Sam Misago kwa msimamo wake maana duh kamkazia mwanzomwisho had kavua mic
 
Dah, hadi Wema maskini mtoto mrefu kupita kiasi leo nimemurumia. My advice keep it low for a while hadi the storm passes by.
 
Muache Wema apumzike jamani hatakama ana-make Headline basi zicwe za kulazimishwa kivile. For ril FNL Presenters wameniboa jana.
 
mnaomshabikia huyu dem na uozo wake anaoufanya (hasa midume) mngekua watoto wa kike mshatiwa mimba zamani sana
 
Back
Top Bottom