King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,765
- 68,827
Sos:EATV naaangalia live kakimbia na amesusa
duh,kimenuka leo
kwanini wanamlazimisha kukiongelea ki2 ambacho ameshakiongelea sana?
kwanini wanamlazimisha kukiongelea ki2 ambacho ameshakiongelea sana?
Kin kong nimekukubal nilikuwa nimeduwaa nilitaka ni2me post nalogin nakukuta umeshazama!
sasa kiukwel hii ni sawa au ni ujinga???
Wema bado anapenda dimond roho inauma
Hata mi nimeona ila the way walivyokuwa wanamhoji hata mimi sijafurahia ni kama vile wanashabikia na kale katangazaji kakafika mbali zaidi kakaanza kumshika shika maskio hata ingekuwa wewe lazima ungekula konakwanini wanamlazimisha kukiongelea ki2 ambacho ameshakiongelea sana?
Yap amekiongelea kweli lkn kuna baadhi ya fans wengine hawajasikia kabisa,ndio maana kwenye promo unafanya interview karibia vituo vyote lengo ni kila fans wako na wasikilizaji wa media husika waweze kukupata!
Sio kumlazimisha anachotakiwa ni kujib maswal anayouliza
si dhan kama presentr anapangiwa maswal ya kumuulza mgen
au mgen kujipangia chakula au pakulala ugenini!
Kwanza kwa upande wang mm ni fans wake lkn sjawah kusikia interview cos huwa niko bizy sana sana kweny magazet ya udaku! Sasa leo nikasema afadhal nimemkuta live af yeye kavua mc duh hii mpya na ni skendo nyngne kawapa topc wa magazet yalayale!
kama kingekuwa chama cha... ningerudisha card! Haki ya nani?
Kiukweli wema kachemka kajiharibia sana ma-producer watakua wanaogopa kumwita coz wanahisi anaweza akaharibu program nzima @gody