wakili Nassoro Katuga anafanya kazi nzuri sana katika tasnia ya sheria,Unashangili bao halijaingi refa kaita kati ww unamsifu mchezaji katuga baada ya kumshukuru refa wetu Ndunguru
Mungu habariki mifumo iliooza anaaicha ibaki maana lazima kuna consequenceUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,No wonder zanzibar inakuwa kwa kasi kama dubai, vijana wake wanatuzidi akili, mawazo na maono, vijana wa Tanzania Bara tuko kwenye kupenda kukomoana, bila kujali pesa ngapi serikali inatumia kuendesha case kulipa majaji kulipa mawakili
It's like vijana wa Tanzania Bara tuna laana flan hivi
Ni kwa sababu tunaelkea kuwa anarchism sitashangaadefinitely 🤝
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Tunashukuru ametuonyesha kesi ya vichekesho na dharau kubwa imeonyesha kwa nchi yetu. Yaani mashahidi ambao hawajui wala kukumbuka chochote! Tunashukuru Lissu ameonyesha tofauti ya akili na uchawa. Huyu ndiye mzalendo namba moja Tanzania. Sema "nonsense" yako ya kichawa
masuala ya uzito na kuaminika kwa ushahidi hua ni katika hatua ya hukumu ya mwisho.Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji Ndunguru
Au maneno hayo ya jaji ni ya uongo?
Baadae akasema Lissu ana kesi ya kujibu kwa ushahidi' ulioletwa na upande wa mashtaka!
Haya naomba ufafanuzi maana jaji anaenda mbele halafu anarudi nyuma .
Hana ubobevu wowote zaidi anafanya kazi kwa memo kutoka magogoniUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nani mwenye mihemkorelax na upunguze mihemko gentleman jukwaani
Okrecords zote majaji wanazo,
just relax gentleman
i"m sorry gentleman if i have wronged you in anyway,Nani mwenye mihemko
WEWE NDIO UTULII KABISA NAONA 1 WALA 2 HAIKAI WAKATI UNAJUA UKWELI