Wakili mbobevu Nassoro Katuga hapigi mayowe, harushi mikono hewani wala hatibui minywele kama wendawazimu wengine kwenye viunga vya mahakama.Mnapiga makelele tu, hata Maamuzi ya mahakama hamjayasikiliza. Mahakama imesema haijaingia kwa kina kuangalia kama ushahidi kama unaaminika au la, Bali wameangalia jambo ambalo ni kama halijabishaniwa kati ya utetezi na mshataka.
msingi wa mashtaka na athari zake kitaifa umeonyesha wazi kibaraka mropokaji ana kesi ya kujibu na kwakweli anastahili kufungwa maisha, kunyongwa hadi kufa kulingana na makosa yake kwa mujibu wa sheria πKwa ushahidi Gani? Umeelewa maamuzi ya mahakama Leo.
Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji Ndunguruumeelewa nilichoeleza kwenye comment yangu gentleman?π
ndio,Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji Ndunguru
Au maneno hayo ya jaji ni ya uongo?
Baadae akasema Lissu ana kesi ya kujibu kwa ushahidi' ulioletwa na upande wa mashtaka!
Haya naomba ufafanuzi maana jaji anaenda mbele halafu anarudi nyuma .
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.π
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa mahakama huo msingi wameupata wapi? Jaji amese mahakama haiangalii uzito wa ushahidi na kuaminika kwake.ndio,
imezingatia msingi wa mashtaka na athari zake kwa usalama wa taifa.full stop π
Unashangili bao halijaingi refa kaita kati ww unamsifu mchezaji katuga baada ya kumshukuru refa wetu NdunguruUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe ndiyo maana airport leo Mageti yote yalikuwa wazi. Unaingia na kutoka bila kudaiwa! Ngoja lissu awashinde, mtatuzuia kuingia airportUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,