Welcome To Tanzania

Umepatia Mkuu! Ndo mana nina mpango wa kuhamia South Sudan.
 
Hivi hadi sasa hii nchi ipo mikononi mwa nani hasa??????????????//
 
Wananchi mnasemaje kuhusu nchi yenu au na nyie mnachekacheka tu kama wale waheshimiwa kule bungeni
 
Umepatatia sana hapo kwa kweli tanzania imebaki jina tuu hatuna kiongozi wala serikali
 
tanzania tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote ..............
 
kila kitu tumemwachia Mungu

source...Power Breakfast by Bonge and Gerald Hando
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…