Dingswayo JF-Expert Member May 26, 2009 4,019 2,923 Sep 3, 2011 #1 Saw this somewhere. Thought that I should share:wink1: Welcome to Dark es salaam.
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,985 Sep 3, 2011 #3 Amyner said: No government? Click to expand... ts a land with power vacuum!
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Sep 3, 2011 #4 hujakuonyesha kwa Chey key, kule huwa ni 24hrs bhana
Lokissa JF-Expert Member Nov 20, 2010 7,446 2,490 Sep 3, 2011 #5 hakuna serikali ndio kwani umeiona ama ipo legelege mda wote.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,585 5,758 Sep 4, 2011 #6 Nyie wazalendo. Mzalendo anaficha mabaya na kutoa mazuri. Hii thread itazuia wawekezajia jaman!
P Pazi JF-Expert Member Mar 5, 2011 2,946 1,815 Sep 4, 2011 #8 Dar-es-salaama jiji lenye laaaana watu wanahamahama dalili zote za kiama zipo dar-es-salaama lawama zipo Dar-es-salaam jiji letu halipo tena salama.
Dar-es-salaama jiji lenye laaaana watu wanahamahama dalili zote za kiama zipo dar-es-salaama lawama zipo Dar-es-salaam jiji letu halipo tena salama.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Feb 27, 2011 6,768 894 Sep 4, 2011 #9 Duu! Lakini laana kama utaitafuta utaipata