Unajuwa nijuwavyo mimi mapenzi ni afya na huongeza siku za kuishi duniani
Sasa naona anapoelekea mdogo wangu
Rich Pol ni pabaya sana ni kama amechoka kuishi kwenye dunia hii iliyo na kila aina ya raha
Swala langu mimi na
charty sio la kificho ulimwengu mzima unajuwa ni mke wangu kipenzi na siku tulipofunga cheni za milele wapo mashuuda walioshuudia wakiwepo
ICHANA Heaven on Earth Khantwe kabanga miss neddy na wengine wengi niliowataja hapo ni wale walioshiriki toka tendo la mahari.
Ghafla leo anaibuka mtu na kusema "eti"charty ni mke wake?
Tena analia kama mtoto na machozi anatoa kulilia penzi la mke wangu mimi sina mengi ya kusema maana jamaa kashaaribu siku yangu.
Ningependa tu nimpe angalizo
Rich Pol mbele yenu atemane na mke wangu bila hivyo yatakayomkuta tusije kulaumiana hata kidogo
Ulimboka alipotea akaonekana sasa wewe rich ukiyeyuka unayeyuka mazima naomba jiongeze na tuheshimiane kaa mbali na mke wangu
Tena ole wako nikukute tena huku mtaani unajipa promo nakuambia utapotea
charty mke wangu njoo ueleze huu umma mapenzi yetu yalikoanzia kabla ya kufunga pingu huyu dogo aumbuke!