sa hapa tunachangia nini
Nimefurahi sana, my wife is back.
Mchango...
Alitaka kuchukuliwa na Kibo10 mchana kweupee!
Hongera kwa kumiliki mwanamke mzuri kama yeye. Aisee kumbe mwanamke mzuri akiteleza sio issue sana, mwe mwe mwe mbona kazi tunayo sasa kina asha boko sie
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums