Wekundu wa Msimbazi: Unamkumbuka yupi hapo?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,027
Kikosi matata cha Simba kilichotikisa katika michuano ya Klabu Binhwa Afrika mwaka 2003, unamkumbuka nani hapo?
ef7c756f54a31c88dbb18d66b699d8fa.jpg
 
Waliosimama kuanzia Julia ni Emanuel Gabriel,, matola,, shekhan rasheed,, haruna moshi boban,, wa mwisho coaster,, waliochuchumaa wa kwnz pawasa,, golikipa kaseja

  1. sio Boban ni Ramadhan Wasso, anayefuatia ni Lubigisa
  2. sio Costa ni Patric Betwel
 
Kikosi matata cha Simba kilichotikisa katika michuano ya Klabu Binhwa Afrika mwaka 2003, unamkumbuka nani hapo?
View attachment 677161
Waliosimama kutoka kushoto ni Patrick Betwel (RIP), Lubigisa Madata Lubigisa, Ramdhan Wasso, Shekhan Rashid, Sellemani Mattola na Bati Goal Emanuel Gabriel

Waliochuchumaa

Kutoka Kushoto ni Boniface Pawasa, Ulimboka Mwakingwe, Juma Kaseja, Athumani Machupa na Steven Mapunda Garincha
 
Victor Costa nyumba yupi hapo?
 
Mstari wa juu kuanzia kushoto.Patric betwel,Lubigisa madata lubigisa,Wasso,shekhan Rashid,Suleiman Matola,Emma Gabriel.
CHINI.Boniface Pawasa,Ulimboka mwakingwe,Juma Kaseja,Athuman Machupa na Stephen Mapunda(Garrincha)
hicho ndio kikosi hapo kwenye picha.Victor Costa hayupo ,aliingia Simba kama sikosei 2004.
 
Waliosimama kuanzia Julia ni Emanuel Gabriel,, matola,, shekhan rasheed,, haruna moshi boban,, wa mwisho coaster,, waliochuchumaa wa kwnz pawasa,, golikipa kaseja
Kajinga wewe, ha ha haaaa,, yaani Matola ndiye unamwita Costa?
 
Namuona fundi wa mpira ambaye Mwenyezi Mungu alimpa talanta kubwa sana na maridhawa ya kusakata kabumbu ila ujanja, uhuni na kukosa washauri sahihi kulimpoteza katika soka!

Huyo si mwingine bali ni Haruna Moshi Shabani Mawela Boban.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea nchini Tanzania.
 
SAFI
Mstari wa juu kuanzia kushoto.Patric betwel,Lubigisa madata lubigisa,Wasso,shekhan Rashid,Suleiman Matola,Emma Gabriel.
CHINI.Boniface Pawasa,Ulimboka mwakingwe,Juma Kaseja,Athuman Machupa na Stephen Mapunda(Garrincha)
hicho ndio kikosi hapo kwenye picha.Victor Costa hayupo ,aliingia Simba kama sikosei 2004.
 
Namuona fundi wa mpira ambaye Mwenyezi Mungu alimpa talanta kubwa sana na maridhawa ya kusakata kabumbu ila ujanja, uhuni na kukosa washauri sahihi kulimpoteza katika soka!

Huyo si mwingine bali ni Haruna Moshi Shabani Mawela Boban.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea nchini Tanzania.
umeweka udambwi mwingi sana kuhusu Boban, that alone is a message, lkn kwa bahati mbaya hayupo pichani labda umemfananisha

DSCN9822.JPG
 
Namuona fundi wa mpira ambaye Mwenyezi Mungu alimpa talanta kubwa sana na maridhawa ya kusakata kabumbu ila ujanja, uhuni na kukosa washauri sahihi kulimpoteza katika soka!

Huyo si mwingine bali ni Haruna Moshi Shabani Mawela Boban.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea nchini Tanzania.
430118_487290437961268_1435107506_n-jpg.97445
 
Back
Top Bottom