Wekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao PINE

bila shaka ni mapanda kikubwa imani nitakuelekeza jins ya kukinga majanga ya moto kwa gharama ndogo
Alinitajia jina kama hilo ndiyo, alinitia moyo siku hizi hakuna shida ya moto, kuna sheria Kali! Ila umeniambia akili imeanza kustuka!
 
Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.

 
Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani Tsh. 7000.

600*7000=4200000 kila hekari na unapanda tena.

Njoo uwekeze
0716101434

Picha hazitaki ku-upload
Hujaweka ile hidden risk ya kuchomeana mashamba ya miti kwa makusudi!!!
 
Back
Top Bottom