Weka wimbo wa mchakamchaka S/M

Weka wimbo wa mchakamchaka S/M

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Taja na shule ya Msingi uliyosoma....binafsi nakumbuka wakati wa mchakamchaka ulikuwa ndo wa wachelewaji kuunga tela ili waingie darasani sasa kilanja akiwa mnoko kaliharibu...nyimbo naikumbuka,,,mbuga za wanyama tz ya kwanza serengeti ngorongoro,manyara na mikumi watz hoyee...s/m Masebe na Kilimo Mbeya 1995 std 4.
 

🎶Alisemaaaa alisema! 🎷
🎶Alisemaaaa alisema! 🎷

🎹Mwl Nyerere alisemaaa
Vijana wangu wote mmelegea, 🎹sharti tuanze mchakamchaka chinjaa.
🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
 
Vijana mmechoka...badooo...mbona hamuimbi....tunaimbaa...mchakamchaka chinjaa...Ali Mselemu halali njaaa,,,ilikuwa raha sana
 
Back
Top Bottom