They want that constantly that ukijisahau mwezi tu wanafuta na akijitokeza mengine akafanya inahaulika mazima. Bad enough wengine wanadhaminisha, sio kila zawadi anapokea kwa roho safi... Nishamnunulia demu wangi zawadi za maana sana tena zingine nikiwa nae anachagua, halafu havai mpaka nachukia.... Kimsingi hawatabiriki na hawajielewi... So usijikaririshe... Hawana formula hawa... Ni kuishi nao kwa akili tu... We hudumia, surprise her enough lakini anemuheshimu kitandandani wala hafanyi hayo.... Dah... Hawa watu hawa bob....
unakosea timing!
unanua gauni wakati mtu anahitaji card ya I love U!
unanua card wakati mwenzako anahitaji your comfort...etc!
mapenzi ni uhalisia, it is not a game!
mchukulie mpenzi kama rafiki, huwezi kujisifia kwa kumnunulia chips rafiki yako then ukafikiri anaweza kuwa royal kwako!
jiulize kuhusu your best friend, unafikiri yupo karibu nawe kwa kuwa unampa materials? definitely not! yupo nawe kwa kuwa anaamini una-care, unamuelewa, na una msaada kwake na unaheshimu msaada anaokupa, full stop!
materials kwa mpenzi ni sawa na materials kwa best friend!
Ikiwa Eid/Xmass atategemea mualiko wa tafrija nyumbani kwako, ikiwa umealika kila mtu ktk sherehe except your best friend hatojisikia vema, lakini hata ukipata tatizo na ukimtaarifu/kuomba msaada kwa kila mtu isipokuwa your best friend hatojisikia vema! so best friend hutegemea mta-share furaha na huzuni na wala rafiki hatojisikia kuchoka kualikwa sherehe/kukusaidia kwenye matatizo!
rafiki anapokuwa na huitaji naye atakuja kwako!
lakini marafiki wengi (wa kweli) hawapendi waombe msaada/usaidizi wako kwenye shida au raha! best friend angependa wewe ujiongeze kuona ni msaada gani/usaidizi gani au kitu gani kitamfaa mwenzako!
rafiki yako hatosema naomba msaada wa 50,000 kuongezea ada ya mwanangu, nilipie kodi, yeye atapresent tatizo linalomkabili na angetarajia best friend ajiongoze kwa kuona kuwa rafiki yangu ana shida ya 50,000/ au ana upungufu wa pesa na yeye ajazie!
sasa mimi nikiwa na upungufu wa ada wewe unanipa offer ya kwenda pasaka Zanzibar, mimi nimepungukiwa pesa ya dawa au vipimo hospitali, wewe unanipa offer nikitoka hospitali nije Kempinsky utalipia na lunch yangu (95,000/=)!
ukiwa umesafiri, unapaswa unifikirie zawadi kulingana na huitaji au hobby zangu, ukishindwa timing lazima iwe ya kitu universal mfano saa/perfume, lakini huwezi kuweka choices zako labda kumnunulia mtu novels kwa kuwa inakupendeza kuniona na mimi nikiwa nasoma novels kama wewe!
Issue jipange, na mpenzi usichukue wrong perception ya kuona ni kama mtu unayetakiwa kumtega, kumuwekea mikakati maalum sana! mpenzi ni sawa na best friend apply principles sawa! ila demu tu wa kutoka naye, wekeza ktk mitego ya kiujanjaujanja maana lengo si kumuwin tu basi!