Hakuna kupendwa kavukavu bana bila ata zawadi ya buku????? Mi wa ivo kwakweli ntakufutilia mbali mnooo penzi si kitandani pekee na hivi ukute ni kijana unajiona una nguvu basi ukimkamata binti wa watu utafikiri unampa adhabu kheee!Wao ni nani " na sisi ni nani ...Cha msingi ni kujikubali "" usijilazimishe kufanya vitu vingine et kisa upendwe .....unaweza kufanya yote hayo na bado ukaibiwa tu kama anakupenda, anakupenda tu
Inawezekana wewe upo kazini!Mpaka unaona unachapiwa ujue kuna walakini msee, jichunguze
Kutakua kuna demu humu unampango nae, sasa unamwaga sela zako.Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia
Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi
ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege
kwa mtu unayempenda??Hata wanafiki wakisema
umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA
NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni
zuri Posta NUNUA mpelekee..Hamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba
Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression
kwamba She is On your Mind na hilo ndo wadada wanataka....Suprise her pale asipotarajia...Mpigie
Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa
hadi ushangae... Hawa watu wanaitwa ma-PLAYER
hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba
demu wako zaidi ya hii,Wanajua Wanawake
wanapenda nini na wanawapa hicho. Wewe jifanye Msela halafu Ma-PLAYER wakufundishe Caring ni
nini. USione Couple zinadumu ukajua jamaa
anatumia heeelaaaa,walaaa..Mijisapraiz tu,demu
anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji, Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini
aliwqzalo mjinga ndilo humtokeaUsisahau kwenye list hapo (Kumpeleka kwenda kutembea Mwezini)
Pamoja na yote hayo still mkeo anaweza kuliwa na Shamba boy hata kwenye Banda la Kuku, au akaliwa na Dereva kwenye Gari!
Unaweka Mdhamana kwa wenzetu hawa?
Wewe uweke 100,000 Mimi hata jiwe siweki.
Bonge la waZoooooooo[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]They want that constantly that ukijisahau mwezi tu wanafuta na akijitokeza mengine akafanya inahaulika mazima. Bad enough wengine wanadhaminisha, sio kila zawadi anapokea kwa roho safi... Nishamnunulia demu wangi zawadi za maana sana tena zingine nikiwa nae anachagua, halafu havai mpaka nachukia.... Kimsingi hawatabiriki na hawajielewi... So usijikaririshe... Hawana formula hawa... Ni kuishi nao kwa akili tu... We hudumia, surprise her enough lakini anemuheshimu kitandandani wala hafanyi hayo.... Dah... Hawa watu hawa bob....
Ndo wanavyosema, kwani ina tv ndani??Mi sound tu .kama ataki atembee
Sema hivyo hivyo, ila hawa ni binadamu tu... Ni kweli surprise zinanogesha penzi lakini sio guarantee... This is the point... End of the day unaweza kuwa very disappointed kama unadhani vijizawadi ndio kila kitu,... Mapenzi ni kwa neema tu....Mzee tatizo haujui kucheza na majira ya vipindi... Huwezi kumnunilia dem sweta kipindi cha joto ... Hapo utamzingua tu...
Kuna dem nilivizia siku kadhaa kabla ya period nikampelekea zawadi ya pedi.. Basi alijiskia wapekee sana, na alifurahi, na hata ilipofika siku yake ya period alinipigia sim akanambia amevaa zawad nlomnunulia,,, it was such romantic moment mzee,
na kuna mwingine, nilikaa gheto nikaona hali ya mawingu mawingu, nikaomba apointment basi nikamuibukia kwao na mwavuli mzuri wakike, nikampa, baada ya stori mbilitatu then nikamkis nikasepa manake sipendagi maneno mengi, kipindi mvua ziliponyesha alinikumbushia kwamba zawadi nlompa imemsaidia... Ipo mifano mingi na nimejaribu kukutajia zawadi za bei za chini nlizowahi kutoa na zikaleta positive result
Labda kwenye muvi za kikolea[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee tatizo haujui kucheza na majira ya vipindi... Huwezi kumnunilia dem sweta kipindi cha joto ... Hapo utamzingua tu...
Kuna dem nilivizia siku kadhaa kabla ya period nikampelekea zawadi ya pedi.. Basi alijiskia wapekee sana, na alifurahi, na hata ilipofika siku yake ya period alinipigia sim akanambia amevaa zawad nlomnunulia,,, it was such romantic moment mzee,
na kuna mwingine, nilikaa gheto nikaona hali ya mawingu mawingu, nikaomba apointment basi nikamuibukia kwao na mwavuli mzuri wakike, nikampa, baada ya stori mbilitatu then nikamkis nikasepa manake sipendagi maneno mengi, kipindi mvua ziliponyesha alinikumbushia kwamba zawadi nlompa imemsaidia... Ipo mifano mingi na nimejaribu kukutajia zawadi za bei za chini nlizowahi kutoa na zikaleta positive result
Inategemea una sacrifice kwa nani lakini..wengine pepo utaliwa mpk ushangae na ndani huoni!Love is all about sacrifices...
Enzi hizo kuna kajidemu nilikapenda nikakang'ang'ania mpaka akanielewa tu cuz nilijitoa kwake mazima.. So it help
Ndio maana mpaka saiz uko singoHakuna kupendwa kavukavu bana bila ata zawadi ya buku????? Mi wa ivo kwakweli ntakufutilia mbali mnooo penzi si kitandani pekee na hivi ukute ni kijana unajiona una nguvu basi ukimkamata binti wa watu utafikiri unampa adhabu kheee!
Analeta zawadi hafu anaishia kukuita bebi zawadii hafu eiki mbili bila gemu kitandani anajishebedua shebedua tuuuIla mtoa mada usijiridhishe kuwa vizawadi pekee vitakuwekea heshima na kukulindia penzi nooooo mkijuana zaidi na ubunifu ukawepo kati yenu itasaidia
Nan alikusimlia hiyo habari ya usingo wanguNdio maana mpaka saiz uko singo