Kwahiyo utatumia kwa nzi au ile zawadi?Kila kiumbe kinahitaji lake....itabidi nije na kampeni jaza choo kuongeza nzi
Mimi kwangu mapenzi ni kupenda na sio kupendwa,hivyo sina sababu ya kubembeleza nipendwe,nikishapenda baaasEti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia
Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi
ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege
kwa mtu unayempenda??Hata wanafiki wakisema
umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA
NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni
zuri Posta NUNUA mpelekee..Hamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba
Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression
kwamba She is On your Mind na hilo ndo wadada wanataka....Suprise her pale asipotarajia...Mpigie
Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa
hadi ushangae... Hawa watu wanaitwa ma-PLAYER
hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba
demu wako zaidi ya hii,Wanajua Wanawake
wanapenda nini na wanawapa hicho. Wewe jifanye Msela halafu Ma-PLAYER wakufundishe Caring ni
nini. USione Couple zinadumu ukajua jamaa
anatumia heeelaaaa,walaaa..Mijisapraiz tu,demu
anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji, Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini
Sure [emoji106][emoji106][emoji106]Inabidi upigwe counceling ya kufa mtu...ila mdogo mdogo utaelewa tu
WatagawanaKwahiyo utatumia kwa nzi au ile zawadi?
Yote uliyotaja ni sahihi kuyafanya kwa mke wa ndoa tu kwingine kote ni kujitakia pressure
Mzee tatizo haujui kucheza na majira ya vipindi... Huwezi kumnunilia dem sweta kipindi cha joto ... Hapo utamzingua tu...They want that constantly that ukijisahau mwezi tu wanafuta na akijitokeza mengine akafanya inahaulika mazima. Bad enough wengine wanadhaminisha, sio kila zawadi anapokea kwa roho safi... Nishamnunulia demu wangi zawadi za maana sana tena zingine nikiwa nae anachagua, halafu havai mpaka nachukia.... Kimsingi hawatabiriki na hawajielewi... So usijikaririshe... Hawana formula hawa... Ni kuishi nao kwa akili tu... We hudumia, surprise her enough lakini anemuheshimu kitandandani wala hafanyi hayo.... Dah... Hawa watu hawa bob....
Waambie ST, wanaume wengine makauzu sanaHamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile
Love is all about sacrifices...Mimi kwangu mapenzi ni kupenda na sio kupendwa,hivyo sina sababu ya kubembeleza nipendwe,nikishapenda baaas
Kwani mke unamuokota chini ya mti?Yote uliyotaja ni sahihi kuyafanya kwa mke wa ndoa tu kwingine kote ni kujitakia pressure
Mpaka unaona unachapiwa ujue kuna walakini msee, jichunguzeUsisahau kwenye list hapo (Kumpeleka kwenda kutembea Mwezini)
Pamoja na yote hayo still mkeo anaweza kuliwa na Shamba boy hata kwenye Banda la Kuku, au akaliwa na Dereva kwenye Gari!
Unaweka Mdhamana kwa wenzetu hawa?
Wewe uweke 100,000 Mimi hata jiwe siweki.