Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

Kwanza nimesikia yule beki wao kitasa Achraf Hakimi hatakuwepo kwenye mechi mojawapo dhidi yetu ana kadi za njano, tukishindwa kuitumia hiyo kama fursa walau hata ya kupata draw ya magoli, basi tusitegemee draw ya aina yoyote ile achilia mbali ushindi dhidi yao popote pale tutakapocheza nao
Sio kesi nafasi yake atacheza Mazroui kutokea Man Utd
 
Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani.

Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku.

Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
Betting ni upunga
 
Sio kesi nafasi yake atacheza Mazroui kutokea Man Utd
Mkuu unamaanisha Man U hii hii inayonusurika kushuka daraja na haiko kwenye michuano yoyote ya kimataifa, naamini Taifa Stars imeshakutana na mabeki wengi wazuri kuliko huyo na bado ikatoboa amini kwenye mpira lolote linawezekana mkuu, hata bia na gongo zote ni pombe na zinalewesha ila kuna moja walau ina afadhali na unaweza kuimudu kuliko nyingine
 
Man utd unataka kuifananisha na Simba au Yanga? Come on
 
Man utd unataka kuifananisha na Simba au Yanga? Come on
Mkuu kumbuka nimemuongelea Hakimi beki wa PSG timu inayosumbua sana huko UEFA, huyo ndio beki wa kuogopwa zaidi pale Morocco kiasi cha watu wengi kufurahia kukosekana kwake, hao wengine ni umakini tu wa washambuliaji wetu unahitajika vinginevyo hakuna linaloshindikana kwenye football
 
Taifa stars wakijilinda tunatoboa, wakifunguka tunakula 7 bila
 
Back
Top Bottom