weka picha

Kweli wataalam wa picha wamekuja Sasa ngoja tutoe comment ya kila picha
Kwanza hiyo A - Story za kijinga za blog za bongo kumsakizia msela na bibi kizee, hata mjinga akiona anajua ni Photoshop mpuuzi kachakachua sio mjanja, lighting zinatofautiana, rangi, bibi wa watu alivokaa position, jinga kweli lililotengeneza hiyo opicha

Hiyo B - Huyo mdada ana majini ka mchanga ulio mars, yani yamepitiliza afu yeye anasema anapiga hela, haya apige hela, ila mwisho wa siku wote hua tunaozea kaburini utaliwa tu na bacteria hata uwe bill gates

Hiyo C - Madada siku hizi mapozi ya kushikana yamezidi hadi mwisho wa siku wanaishia ufanya mambo ambayo kwa jamii yanasikitisha, kuweka mdomo wako kule chini, mdomo mate ni basic, kule chini ni acidic, hivi hizi neutralization reaction kati ya hizi body part mbili nani aliruhusu? Upuuzi
 

Rudisha siku nyuma wasiombe picha
 
naomba huu uzi uwe sticky...wapenda picha wote wawe wanatoa dukuduku lao...
 
Mkuu MM hiyo ya kwanza ya Obama na Sarkozy
duh! Nimeitumia kama Avatar yangu hapo juu.
Natamani sana nione sura ya huyo binti!! Hawa ndio zamani huko walikua wanasabibisha nchi kupinduliwa na nchi kuhongwa.
Actually huku kwetu hadi leo wanasababisha majanga hao. Na ndio maana the best spies are women! Hao viongozi hapo wangekua guarenteed kuwa itakua siri, nani angeacha hio kitu na akipewa vizuri amwaga siri zoooote!
Ila God bless women and thank you for making them. Amen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…