Weka order ya brand new laptops and tablet

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
338
250
Hey.! Kuna business ya laptops and tablets brand new mouse, begi na keyboard cover unapata.! N bei chee maana zinatoka moja kwa moja kutoka kiwandan na bei ya kuuza n hyohyo.! Kuna ma bro yupo china anasoma ndo atashughulikia suala nzma la kuja kwa mzgo na analeta kwa order.! Maximum order n 200 ndo mzgo uje.! So natafuta agents ambao watanihelp kunitaftia order kwa wauza laptop au kwa wateja wa kawayda na commission per order n nzur sana.! Vilevile napokea order kwa mteja kama mteja anayetaka laptop!
Kwa yoyote yule ambaye atawez kuungana na mm naomb atume email yake kwend namb 0653 457659 (sms and whatsapp) ili niweze kumtumia price list za laptop na tablets wid specification of each laptop and tablet na price zake.! Ur most welcomed.!
Thanks
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Mkuu, we weka kila kitu hapa hapa jamvini tupo tayari kuzinunua lakini utuweke wazi hapa hapa
 
Tambikeni

Member
Mar 11, 2013
52
95
Haupo tayari kufanya biashara bro wako anatuhusu nini? We kama unafanya biashara weka mtaji risk your capital find market. Humu unatoa tangazo tu kuwa mzigo unapatikana wapi bac. Milolongo mingine haina maana laptops ziko nyingi sana suala la order piga chini kama huna mtaji kaa kimyaaa!!!!
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358
0
Hey.! Kuna business ya laptops and tablets brand new mouse, begi na keyboard cover unapata.! N bei chee maana zinatoka moja kwa moja kutoka kiwandan na bei ya kuuza n hyohyo.! Kuna ma bro yupo china anasoma ndo atashughulikia suala nzma la kuja kwa mzgo na analeta kwa order.! Maximum order n 200 ndo mzgo uje.! So natafuta agents ambao watanihelp kunitaftia order kwa wauza laptop au kwa wateja wa kawayda na commission per order n nzur sana.! Vilevile napokea order kwa mteja kama mteja anayetaka laptop!
Kwa yoyote yule ambaye atawez kuungana na mm naomb atume email yake kwend namb 0653 457659 (sms and whatsapp) ili niweze kumtumia price list za laptop na tablets wid specification of each laptop and tablet na price zake.! Ur most welcomed.!
Thanks

Inbox price list au nitumie kwa cyberteq007@gmail.com
 
Hudhaifiy

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
338
250
Heb elewen bhana, laptops zpo nyng sana na zpo interm of price so ntapigaje pict za laptop 25 na tablet 30..!! Ndo mana nkasema tuma email nkutumie price list zpo interm of document
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,719
2,000
heb elewen bhana, laptops zpo nyng sana na zpo interm of price so ntapigaje pict za laptop 25 na tablet 30..!! Ndo mana nkasema tuma email nkutumie price list zpo interm of document

weka kwanza 5.kama hutaki sepa.
 
AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
195
story za chuo hizi... nna bro angu, mshkaji wangu .. blah blah..... if u mean business just list items with price tags..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom