Weka neno katika hii picha

hii nayo ni dhihaka, teh teh! le mutuz babako anatufanyia dhihaka wa tz.
 
wakati wazalendo wakihangaika kuwakomboa watanzania (m4c) magamba yameishiwa sera yamebaki kucheza gombolela.
 
Hata walemavu tunawasaidia kwa kuzidi kuharibu mazingira.....tunakata miti kupata mbao za kutengenezea baiskeli zaoπŸ™‚
 
onyesha unaniweza japo..................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…