GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,333
Nimeona ni vyema tukakumbuka zile ngoma za miaka ile ya 2005 kushuka chini mpaka 1990s kwa kushare mambo haya ya kitambo.
Tafadhari dondoshea vibao ulivyo navyo vya miaka hiyo makundi mbalimbali kama GWM, WWA,Diplomatz, kulikuwa na Gangsters With Matatizo na Pia kulikuwa na Gang Way Mob, HBC, Mr 2, vibao kama mnyalu,sister du, nini mnataka mazee n.k
Hapa tunaweza saidiana kuwakumbuka wakali wa miaka hiyo wenye uchungu na muziki hasa.