Weka Mbali na Watoto😂

Mdomo ulimponza. Ilifika mahali hata akamkashifu Mungu. Amepata size yake kama tigo inavyowapa wateja wake size yao.
 
This time Tyson aliacha mbwembwe na utani, he was very serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…