englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 May 28, 2013 #1 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,972 Reaction score 77,266 May 28, 2013 #2 Yaani shoga imevaa kama unakwenda ngomani hayo maneno anaambiwa Mama Jk.
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 May 28, 2013 #3 Hapo luga gongana tu. Ze ze ze nyingi. Mke wa mswati kadata
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 May 28, 2013 #4 "...Wewe mwenzangu mpo wake 13, mimi nipo peke yangu..."
Nyorji JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 238 Reaction score 98 May 28, 2013 #5 Mmh wewe mama jk kwa nini huku maisha ya bongo raha sana
l30f Member Joined May 9, 2012 Posts 50 Reaction score 11 May 28, 2013 #6 mbona mke wa mswayi anatutega kaachia mapaja sana. afu mzur!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 May 28, 2013 #7 Mkalimani yu wapi leo
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 May 28, 2013 #8 Daaah! King Mswati anafaidi jaman. Yani kila mwaka anateua bikra
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 May 28, 2013 #9 natamani kushiriki ngoma ili nami niwe mmoja wenu,ila huyu mswati wa bagamoyo ataniua,mi sijampenda bwana ananiulia ndugu zangu wa mtwara
natamani kushiriki ngoma ili nami niwe mmoja wenu,ila huyu mswati wa bagamoyo ataniua,mi sijampenda bwana ananiulia ndugu zangu wa mtwara
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 486 May 28, 2013 #10 Unajua mwanangu wakati Jakaya ananioa alinambia hana mke hata mmoja! Leo hiiii chamoto nakiona! Yaani hata siku moja kulala naye shida! Kila siku safarini wacha hao akinaaaaa Mla*a anaosafiri nao kila siku! Najuuuuuta kuolewa naye!
Unajua mwanangu wakati Jakaya ananioa alinambia hana mke hata mmoja! Leo hiiii chamoto nakiona! Yaani hata siku moja kulala naye shida! Kila siku safarini wacha hao akinaaaaa Mla*a anaosafiri nao kila siku! Najuuuuuta kuolewa naye!
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,372 May 28, 2013 #11 Kertel said: natamani kushiriki ngoma ili nami niwe mmoja wenu,ila huyu mswati wa bagamoyo ataniua,mi sijampenda bwana ananiulia ndugu zangu wa mtwara Click to expand... Umejaribu kulenga ndugu.
Kertel said: natamani kushiriki ngoma ili nami niwe mmoja wenu,ila huyu mswati wa bagamoyo ataniua,mi sijampenda bwana ananiulia ndugu zangu wa mtwara Click to expand... Umejaribu kulenga ndugu.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 29, 2013 #12 Kafunikwa hapa