weka maneno

weka maneno

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
mk1.jpg


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland
 
Yaani shoga imevaa kama unakwenda ngomani
hayo maneno anaambiwa Mama Jk.
 
Hapo luga gongana tu. Ze ze ze nyingi. Mke wa mswati kadata
 
"...Wewe mwenzangu mpo wake 13, mimi nipo peke yangu..."
 
Mmh wewe mama jk kwa nini huku maisha ya bongo raha sana
 
mbona mke wa mswayi anatutega kaachia mapaja sana. afu mzur!
 
Daaah! King Mswati anafaidi jaman. Yani kila mwaka anateua bikra
 
natamani kushiriki ngoma ili nami niwe mmoja wenu,ila huyu mswati wa bagamoyo ataniua,mi sijampenda bwana ananiulia ndugu zangu wa mtwara
 
Unajua mwanangu wakati Jakaya ananioa alinambia hana mke hata mmoja!
Leo hiiii chamoto nakiona! Yaani hata siku moja kulala naye shida! Kila siku safarini wacha hao akinaaaaa Mla*a anaosafiri nao kila siku!
Najuuuuuta kuolewa naye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom