Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
<b>MaMA:</b>Nasikia na wewe umeanza kuwaponda CDM wakati walikuachia jimbo pale Kwako, na walikuonyesha Heshima<br />
<br />
<b>PINDA:</b> <font color="#B22222"><i>mama mie nawazuga hawa Chama cha Majambazi najua hatima ya Tz Bora iko mikononi mwao, si uanjua hata mmeo alisha tabiri meme kuhusu mwasisi wa chama hiki mzee</i></font> MTEI
Mama: Nashukuru mungu mwanangu makongoro amepunguza gongo.Mimi naanza:
Mama: Wewe tangu mzee afariki hujakanyaga hapa kwanini? hukumbuki mzee alikulea pale magogoni. Ndo maana mambo ako hayendi vizuri
Pinda: Ndo maana nimekuja, nilisikia mwanao Madaraka alivyonisema madiwani wa Sumbawanga walikuja hapa, nisamehe!