Weka Maneno picha hii

Megawatt B

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
259
69
Mimi naanza:
Mama: Wewe tangu mzee afariki hujakanyaga hapa kwanini? hukumbuki mzee alikulea pale magogoni. Ndo maana mambo ako hayendi vizuri

Pinda: Ndo maana nimekuja, nilisikia mwanao Madaraka alivyonisema madiwani wa Sumbawanga walikuja hapa, nisamehe!

IMG_4529.JPG
 
MaMA:Nasikia na wewe umeanza kuwaponda CDM wakati walikuachia jimbo pale Kwako, na walikuonyesha Heshima

PINDA: mama mie nawazuga hawa Chama cha Majambazi najua hatima ya Tz Bora iko mikononi mwao, si uanjua hata mmeo alisha tabiri meme kuhusu mwasisi wa chama hiki mzee MTEI
 
hapo mama anasema hvi kwanii unashindwa kumshauri yule Nunda awe serious pale magogoni

Pinda- aaah mama hupendi kibarua changu
 
<b>MaMA:</b>Nasikia na wewe umeanza kuwaponda CDM wakati walikuachia jimbo pale Kwako, na walikuonyesha Heshima<br />
<br />
<b>PINDA:</b> <font color="#B22222"><i>mama mie nawazuga hawa Chama cha Majambazi najua hatima ya Tz Bora iko mikononi mwao, si uanjua hata mmeo alisha tabiri meme kuhusu mwasisi wa chama hiki mzee</i></font> MTEI
:) heheheeee. ^ Hii ya ukweli.
 
Mimi naanza:
Mama: Wewe tangu mzee afariki hujakanyaga hapa kwanini? hukumbuki mzee alikulea pale magogoni. Ndo maana mambo ako hayendi vizuri

Pinda: Ndo maana nimekuja, nilisikia mwanao Madaraka alivyonisema madiwani wa Sumbawanga walikuja hapa, nisamehe!

IMG_4529.JPG
Mama: Nashukuru mungu mwanangu makongoro amepunguza gongo.
Pinda: Kweli ni jambo la kumshukuru mungu.
 
Mama:Hivi huko Ikulu mnafanya nini?Wewe umekulia Ikulu na ulikuwa katibu wa Mwl kwa muda mrefu sasa unashindwa nini mkushauri huyo ******?
Pinda:aaahh Mama!Si unajua tena kibarua kukikosa rahisi kukipata tena kazi kwelikweli.Nalinda uPM si unajua mama ilivyo mzuriii eeehhh.
 
Mwanangu hivi yule mwarabu wewe hajakununulia suti kama mwenzio? maana naona wewe na hizi kaunda tu. Tena kama hii nakumbuka nilikuona nayo 1985 wakati tunaondoka kurudi kijijini.
 
Mbona mliahidi huduma za afya kwa wazee, wajawazito na watoto chini ya miaka mitano bure halafu hamtekelezi? Na chakula kwa vikongwe kama mimi inakuwaje mnataka tufe kwa njaa?
 
Mnakoelekea sio kuzuri kijana....mume wangu hakuacha madudu kama haya mnayofanya....dhambi ikiwaangukia nanyie mmekwisha
 
CCM ilipofikia imeoza sana,inanuka hakuna manukato ya kuweza kuondoa halufu chafu ya uozo wa CCM,naamini unaweza kwa nafasi yako kusaidia wokovu wa taifa hili, angalia namna utavyoweza andaa namna ya kuruhusu CHADEMA wachukue nchi kwa HAKI na AMANI kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
 
It Seems PM is listening attentivelly,but i am not sure if PM Hears. Bcoz listening and hearing are two different things.
 
Hivi huyu Kigeugeu vipi nasikia amekwenda Marekani,mwambie huko wamejiandaa kuandamana kumpinga arudi nyumbani haraka,halafu mkumbushe kuwa Mwl.alikuwa anatumia vitabu vya dini mambo yakiwa magumu sasa yeye mbona anatumia nguvu za giza ama unamfundisha mambo ya Sumbawanga?
 
Mama: duh! Mwanangu, sasa hivi umekuwa handsome saaaaaana. Kuna nini? Au umeanza ukarolaiti?

Mp: ahh mamaaa! Mi HB kuliko hata mkwe.re, si unajua ukoo wetu wa ukweli?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom