palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
mwenzie hapo pembeni kaduwaa kabisa"wanafuzi kupata mimba masomoni ni kiherehere chao" by Mr.Kikwete
Nampa hongera kwani ameamua kuzikabili changamoto na kuzifanyia kazi.
Unaweza kushangaa amefika mbali huyo, kwani alipojikwaa alijifunza na kuamua kunyanyuka na kuendelea mbele.