Weka caption kwenye picha hii ya dereva

Weka caption kwenye picha hii ya dereva

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,609
Reaction score
6,357
Hapa mmefika mto Wami au pale kitonga alafu usikie dereva anatoa tangazo kama hili
"Nilikwambia uachane na mke wangu lakini hukusikia"
20210712_164055.jpg
 
"Ndugu abiria , poleni kwa safari. Gari yetu inaingia hotelini kwa ajili ya abiria kupata chakula na kuchimba dawa. Tutatumia dakika kumi kwa hiyo mnaombwa kwenda na muda. Baada ya hapa gari haitasimama tena kwa huduma za chakula au kuchimba dawa"
 
"abiria gari lime feli breki na mbele yetu ni mlima kitonga"
 
"Ndugu abiria , poleni kwa safari.
Gari yetu inaingia hotelini kwa ajili ya abiria kupata chakula na kuchimba dawa. Tutatumia dakika kumi kwa hiyo mnaombwa kwenda na muda. Baada ya hapa gari haitasimama tena kwa huduma za chakula au kuchimba dawa"
Punguza kupanda mabus itabidi niwe nakukatia tiketi za mbung'o ukitaka kusafiri.
 
We mama kibonge uliyeharibu hali ya hewa jisalimishe mwenyewe nimekuona kwenye Mirror
 
Back
Top Bottom