Weka caption kwenye picha hii ya dereva

Weka caption kwenye picha hii ya dereva

Kila mmoja amuangalie jirani yake kama yupo ili tuanze safari.
 
Ndugu abiria, gari limekata brake, ili tusimame ni lazima tuuvae mti uliyooko mbele yetu, wale wa upande wa kushoto mjiandae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo tumbo la kuhara lazima likushike
 
FB_IMG_16261553945727081.jpg


Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Naona abiria mnapiga kelele Sana oooh tunapiga simu traffic Kibaha sasa naendesha spidi 10 KPH ili mkome mwenye haraka aruke dirishani awahi
 
Pic of the Month.

Kiukweli Huyu jamaaa anafurahisha sana ukomtazama tuu.

Sasa ukiongeza na Caption ndo balaaa!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂
 
“Aliyesemaga ntakufa kwa ajali kipindi naanza udereva nimemuona akiingia kwenye bus,,sasa leo kwa taarifa yake naenda kufa naye kwenye hio ajali" any way Sekenke sio mbali kutokea hapa
 
Back
Top Bottom