Weird wrestling

mshana jr ndugu yangu kuambina kumo na anaekuuambia mara nyingi anakupenda na kukutakia kheir..


Hizi sio picha kabisa za kuweka humu hazifunzi chochote.....

Najua utanielewa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nature inasema kuwa hatuwezi kuwa sawa..iwe kimtazamo na hata kifikra...sisi wengine tunafurahia uwepo wa picha zako...keep it up...

Ni kweli KikulachoChako tunatofautiana kwa kila jambo lakini kwa heshima ya farkhina ngoja tufanye hivyo

Lengo ni kufurahi lakini kama si kila mmoja anaweza kufurahi, hivyo kudumisha furaha yetu jukwaani ni bora tusiwakere wengine hasa wale ambao tuna interact nao kila siku hapa jukwaani kwa njia ya heshima upendo na urafiki
 
Last edited by a moderator:

Tukifurahi watano wakakereka wanne tutaleta migongano na mifarakano! Tukifurahi wote tunaleta umoja wenye furaha kubwa
 
Last edited by a moderator:
Tumecheka sana mkuu, yf alidhani mmoja ni mwanamke! Nimeipenda milima uluguru kule nyuma!
 
mshana jr ndugu yangu kuambina kumo na anaekuuambia mara nyingi anakupenda na kukutakia kheir..


Hizi sio picha kabisa za kuweka humu hazifunzi chochote.....

Najua utanielewa

ila zinaburudisha kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Huyo alie ficha. sura lazima atakua mh.yule wa gombe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…