Weird thought...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Leo nimewaza.

Napingana na mawazo niliyotoa before hapa

Sidhani ni neccessary watu wote wasome mpaka level ya Chuo Kikuu...:rolleyes::rolleyes::rolleyes::eek:...

Waende wachache wenye pontential ya ku succeed. I mean ma genius ...lol...

Hao ndio watatusaidia sisi kuwa productive and innovative.

Sio kutumia hela nyingi kusomesha viazi kama Becky hapa … unapoteza muda mwingi … sana 'kupandisha' material ... lol

Na kwa sababu ni viazi, hatuletei ideas mpya .. wala hatutumii hii elimu kuleta mawazo chanya kwenye jamii

I believe mtu akiwa genius akapata na Elimu ..... ni combination nzuri sana.

Ya kuleta matokeo chanya kwenye jamii yetu.

Sio sasa unakuta Msomi Chuo kikuu kagraduate ila anafanya kazi ambayo aliwaacha wenzie wasioenda shule wakifanya…

Kuna mawili

Elimu aliyoipata haikua relevant..

AU

Ni mmoja ya waliokua 'wanakariri' …huko🤓🤓🤓😱😱😱

Mie naona Primary na Lower Secondary iwe FREE...

Na wote watanzania tusome.

Namanisha, kusiwe na mchujo wa darasa la saba bali form four ndio kuwe na mchujo

Na form four ndio iwe mwisho wa Secondary. ONLY GENIUS SHOULD GO TO UPPER SECONDARY SCHOOL...

YAANI, labda form five na six waende waliopata Division One na Two peke yao 🤓 :eek:

Hata shule za Private hakuna kuchukua wanafunzi walio score below second grade

Badala yake..

Wale walioscore below second grade waende VYUONI

Kwa vile tunaelekea Uchumi wa Viwanda

VIJENGWE vyuo VINGI vya TECHNOLOGY, BUSINESS, KILIMO ETC

Watu waende huko.:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Asante kwa kujirudi, thread yako ya mwanzo niliona na kushindwa comment maana niliona kama mabaki ya kahawa.

Hivi sasa umeongea masuala yenye ladha ya chenza. Vizuri
 
hii comment nimeitoa huko youtube
"I totally agree. As said in the video. “All children are born artists, the problem is to remain an artist as we grow up.” –Pablo Picasso. When we grow up, we become frightened for being wrong and in the school system, mistakes are the worst thing you can make. But isn't school supposed to prepare us for the future? The knowledge we gain from school matters but creativity is still necessary.

Students spend 18+ years in their lives taking tests, memorizing informations and spent hours finishing homeworks. However, true learning is born out of lasting understanding, not grades and tests. The informations we memorize fades by the time, but our creativity won’t. In school, even if you’re allowed to be creative, they put a lot of restrictions in it.

Students are expected to follow methods instead of creating their own. For example, in Literature. Students are often given strict guidelines for writing things like poems. School makes us create poems that have precise rules for each individual line, making poetry seem very constricted and uncreative. School drains out creativity of oneself.That’s why school must focus on empowering students’ creativity."
 
Asante kwa kujirudi, thread yako ya mwanzo niliona na kushindwa comment maana niliona kama mabaki ya kahawa.

Hivi sasa umeongea masuala yenye ladha ya chenza. Vizuri

mnhhhh haya mkuu..nimeupdate thread sijui kama bado ina ladha unayoitaka?:D:D:D😱
 
hii comment nimeitoa huko youtube
"I totally agree. As said in the video. “All children are born artists, the problem is to remain an artist as we grow up.” –Pablo Picasso. When we grow up, we become frightened for being wrong and in the school system, mistakes are the worst thing you can make. But isn't school supposed to prepare us for the future? The knowledge we gain from school matters but creativity is still necessary.

Students spend 18+ years in their lives taking tests, memorizing informations and spent hours finishing homeworks. However, true learning is born out of lasting understanding, not grades and tests. The informations we memorize fades by the time, but our creativity won’t. In school, even if you’re allowed to be creative, they put a lot of restrictions in it.

Students are expected to follow methods instead of creating their own. For example, in Literature. Students are often given strict guidelines for writing things like poems. School makes us create poems that have precise rules for each individual line, making poetry seem very constricted and uncreative. School drains out creativity of oneself.That’s why school must focus on empowering students’ creativity."

Nimependa Presentation yake...

And his good sense of humour...

ila katika nchi zetu kuchimba capacity,motivation,interest ya watoto ni ngumu kidogo….

utajuaje Talent ya mtoto kama ni mwanamziki kama hata madarasa ya Music hakuna?LOLS
 
Nimependa Presentation yake...
And his good sense of humour...
ila katika nchi zetu kuchimba capacity,motivation,interesr ya watoto ni ngumu kidogo….
utajuaje Talent ya mtoto kama ni mwanamziki kama hata madarasa ya Music hakuna?LOLS
Na hapo niulize kwa nini hakuna?
 
Rebecca 83 nimeshindwa kureply.

Hakuna facilities kama hizo kwa sababu ya masuala kadha wa kadha, mfano:-

Kwa nchi nyingi kusini Afrika (Jangwa la Sahara) zinaamini elimu ni ile tu yenye kumuwezesha mtu kufanya kazi ofisi fulani, kuandika na kusaini akiwa katika kiti cha ofisi. Hali hiyo upelekea taasisi nyingi zenye dhamana ya elimu kutilia mkazo masomo lengwa yanayoonekana yanafaa kwao. Mfano masomo ya Science kwa Tanzania na wakiyakandamiza masomo ya Sanaa yanayoongozwa kwa akili asilia isiyohitaji 'formula' abadani kukariri.

Simaanishi science haina umuhimu, hapana lakini ni manufaa gani kama taifa limepata kutokana na science hiyo?

Wenye dhamana wanasahau sanaa inaouwezo wa kuibeba science na hilo liko wazi. Hamna sindano bila kuwapo mbunifu ambaye ni artist (Art 'Sanaa), hakutokuwapo kitabu cha biology, chemistry wala geography bila mchoraji na msanifu wa jarida la kitabu hicho. Kamwe hadi dunia inaisha.

Na hivi sasa dunia inaelekea katika technology kwa kasi sana na ikumbukwe technology inajisimamia kwa 25% huku ikiwa imekopa 25% ya science na 50% ikiwa imekopwa kutoka Art's.

Ni kuikosea heshima Sanaa kwa kutowekeza au kuipatia nafasi ilhali inachangia uchumi wa dunia kwa 27.4% kwa mujibu wa data zilizotolewa na UN Art's mwanzo wa mwaka 2019.

Ipo wazi Sanaa kupitia Muziki, Picha, Uchoraji na Picha zinazotembea (Video) imeweza kutoa ajira kwa asilimia 24.9% kwa bara Europa huku ikiongozwa na technology yenye asilimia 44.01% na lest zikishikiliwa na agriculture, finance, science (pure), transportation na nyingine nyingi.

Kama taifa huwezi kuwa na Music Classrooms, Art Rooms, Sports Studies na masuala ya Art's kama utakuwa na Joyce Ndalichako ama Ummy Mwalimu kama watu wenye dhamana katika hayo masuala.
 
Back
Top Bottom