Wehu wako kila pahali

Bangi sio nzuri ukishakuwa mkubwa
 
Zingekuwa za kununua asingefanya hivyo, hiyo yote sababu za serikali
 
Sijui nijaribu maneno flan hivi?!! Aaah nimegundua yataniletea kifurushi cha ban.
 
hilo vazi la kufungia mwaka walai sijui nani dizaina
 
mshana jr,​ kwani njaa ishakoma humu duniani?
Ngekewa Nilishawahi kusema kuwa kama kila mtu akipewa nafasi na uhuru wa kufanya kituko fulani tutashuhudia mengi ya ajabu mno
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…