Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Hii kauli naipeleka mahabara ikafanyiwe ushunguzi wa kinaAcha wizi wewe dada
Hii kauli naipeleka mahabara ikafanyiwe ushunguzi wa kinaAcha wizi wewe dada
Hapana best jamani nimeuliza tu mm![]()
white umewaza mbali wewe....
Ni rafiki tu sina nia mbaya nae eti.....![]()
Kichwa kinauma kweli shem ?Shemeji katuweza wambea no Swahili yaan kichwa kinauma hapa
KwakweliKajiunga leo leo na ban leo leo,itabid saiv mods waangalie namna nyingine ya kudhibiti hili
Mkuu huu utani wako ndio ule wa 50/50 au mguu nje mguu ndani, yani akijaa fresh akizingua fresh pia








Poa mkuuHuu utan wa 100%
Nimekuelewa next time nitakutafuta wewe.....Hapana best jamani nimeuliza tu mm

Ameen Ila atakuja tenaapumzike kwa aman huko alipo![]()
Mh mbona kuna siku jamii photo mshana aliweka picha mdada ana chura akacomment gilesi wa akaandika jina lakeHapendi nasikia
Zaidi yako shows ya kibabe kibonge mm unavyojua kunipeleka mpera mpera


Hapana sidhani naelewana nae mnoo asingekuwa ananitukana sijui lakiniThe list
Wanadaiii wale sijapata kuona




ulishakopa woiiii nakumbuka access bank jamani