Asanteee shem najivunia sura ya baba anguWenye sura hizo wataalamu wanasema ukiwa nao kwenye mahusiano mtadumu kwa muda mrefu sana. Ndio maana napambana kumpata mtu kama huyo ambaye ni wewe.
Lucky me.
Khaaaa nimekuwa cheupe tena kwahiyo huu ucheusi mangala nampa naniKwani mesemaje mie cheupe?
Hahahahaa. Sema uwekwe afu uwe unajishaua mama wee. Sema wakunyumba wakikuweka poa tu hawataharibu kitu
Hilo nalo tatizoShemeji ako anaogopa asije akaja pm akakumbana na wenzie
Me pm yangu niliwaambiaga mods wanitolee shem nilivyoingia tu jfNaipenda sana
njoo bas shem tujenge ukarib zaid
Mmmmmmhcheusi mm mangala
Haeleweki yaanSasa na wewe unataka nafasi sehemu ngapi.?
Wacha weehMmmmmmh
kitu cha chocolate chenye utam wa vanila
Hahahahaa. Sema uwekwe afu uwe unajishaua mama wee. Sema wakunyumba wakikuweka poa tu hawataharibu kitu
watu hawatakosa vya kutoa kasoro