Weekend yangu imeanza hivyo, anyone around Mwanza?

Sasa mambo ya umri ya nini. Kunyimana bahati
 
Njoo Jembe ni jembe kuanzia saa 2 usiku usije na rafiki zako tupige man to man show mida ya saa 5 kila mtu anaenda kwake
 
bahati hainyimwi, ukiona hivyo hio si yako ndugu
Poa haina nooma. Na mimi nitafikisha huo umri na wakati huo weww utakuwa menopause [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hebu niambie uko maeneo gani nikaazime kabisa V8 la diwani nikupitie tukale bata mpaka kuku waone wivu
 
E
Level 8 gold crest...u said above 45 sawa...lkn usiwe na mambo ya kizee..km sawa pm.
 
Mwanza mwanza,tukutane rock bottom for the soul shake down party!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…